MBOPO JUU unaingilia MADALE MWISHO.
Hii ni nyumba kubwa Mjengo wa kisasa(CONTEMPORARY)
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia ina Banda la Chumba kimoja.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ipo ndani ya Fensi na upo uwezekano wa kujenga nyumba nyingine hata mbili kubwa ndani ya Kiwanja.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.