Hili Jengi lipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 2,030.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Imesimama kufanya Kazi na inahitaji MABORESHO li kuweza kufendele na Kazi.
Eneo ni kubwa na unaweza kutanua.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.