Loading…
Views:
TZS120,000,000.00

KIWANJA CHENYE HATI,MAPAGALE MANNE, MBEZI MAKABE

0 0 Reviews
Posted on 17 January 2025

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Outside or Street Parking
  • Type of property: House , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:

Eneo ni  MAKABE,MBEZI MWISHO.

Eneo lipo wastani wa  mita 800 kutoka Barabara ya MAKABE/MBEZI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.

Umiliki ni HATI  (Title Deed) ya Wizara. 

Haya MAPAGALE yalikusudiwa kuwa Nyumba za Kupangisha ( Apartments)

Kila moja inajitegemea.

Na ina vyumba 2 ( Vyote Vyoo ndani))

Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,

Store na Choo cha Familia ndani. 

Eneo ni kubwa unaweza kuongeza kadhaa nyingine. 

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000.

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

_____________

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS120,000,000.00

KIWANJA CHENYE HATI,MAPAGALE MANNE, MBEZI MAKABE

0 0 Reviews
Posted on 17 January 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top