Country: Dar es Salaam
Hii nyumba ipo Mtaa mpana na sehemu ambayo inafaa kuweka nyumba ya kisasa ya kuishi hasa Apartments.
Eneo ni KINONDONI MKWAJUNI,
JIRANI SANA NA KITUO CHA MWENDOKASI KWAJUNI.
Kiwanja kina SQM.200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii nyumba ipo Mtaa mpana na sehemu ambayo inafaa kuweka nyumba ya kisasa ya kuishi hasa Apartments. Eneo ni KINONDONI MKWAJUNI, JIRANI SANA NA KITUO CHA MWENDOKASI KWAJUNI. Kiwanja kina SQM.200. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___________ ANGALIZO...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-kizamanimkwajuni-kinondoni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.