Country: Dar es Salaam
Ni jirani na Hospitalj ya CCRT.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.350.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa unaweza kufanya Ofisi au Hostel.
Zaman ilikuwa Shule.
Msingi ni kwaaliji ya Sakafu(3)/Floor.
Kwahiyo ukipenda unaweza kujenga zaidi kwenda juu.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mch/maand
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
Ni jirani na Hospitalj ya CCRT. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.350. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Hapa unaweza kufanya Ofisi au Hostel. Zaman ilikuwa Shule. Msingi ni kwaaliji ya Sakafu(3)/Floor. Kwahiyo ukipenda unaweza kujenga zaidi kwenda ju...
https://advertisingdar.co.tz/ad/jengo-linaloangalia-barabara-ya-lami-msasani/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.