Ni jirani na Mugabe Shule ya Msingi/SINZA.
Hapa panafaa kuhifadhi Magari (Yard) au Mitambo ya Ujenzi nk.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuina ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
____________sb
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.