Umbali wa Mita 500 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Pamezunguuka nanMakazi ya watu.
Huduma za Umeme na Maji zipo na panafikika kwa urahisi.
———————————-
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratinu zangu.
———————————-
Kwa Biashara ya kukata Viwanja au Uwekezaji wa Hotel, Ukumbi wa shughuli ama mrado mkubwa wa nyumba za kuishi panafaa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.