Hili eneo limezunguushiwa Ukuta na lina Geti.
Lipo umbali wa kilomita 2.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ni upande wa kulia ukitokea Dar.
Kiwanja cha pili baada ya Barabara ya Lami.
INAHITAJIKA KODI YA MWAKA MZIMA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni KODI YA MWEZI MMOJA
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.