Hii nyumba ipo Goba, KULANGWA.
Ipo umbali wa Mita 800 tu kutoka Barabara ya Lami ya GOBA/MADALE.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 800.-KIWANJA KIMEPIMWA.
Inauzwa kwa Bei ya Dharula.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zilizoainishwa.
_______________mpg
Ni vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za muhimu kama Umeme na Maji zipo tayari (zimeahaingia ndani ya nyumba)
Ujenzi ni wa kisasa na umezingatia ubora na kuvutia pia.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.