Country: Dar es Salaam
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni wastani wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Nyumba hii inahitaji kunalizia ujenzi.
Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 4,000.
Ina vyumba 4 (2 vyoo ndani)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
______________
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ni wastani wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Nyumba hii inahitaji kunalizia ujenzi. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 4,000. Ina vyumba 4 (2 vyoo ndani) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Sto...
https://advertisingdar.co.tz/ad/yakumalizia-kiwanja-sqm-4000-kwembe-luguruni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.