Loading…
Views:
TZS80,000,000.00

YAKISASA,IMESHUSHWA BEI,KITUNDA-KIVULE,

0 0 Reviews
Posted on 01 May 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

  IPo eneo la NJIAPANDA YA SHULE. Hapo awali BEI ILIKUWA 100+MILIONI. SASA TUIUZA BEI YA DHARULA. NJOO NA TSHS.80 MILIONI. UJITWALIE NA HUTAJUTIA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 937. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba kubwa Ina vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna nyumba ndogo yenye Chumba kimoja Uwani. Nyumba ina KISIMA na Parking ipo ya kutosha. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.  

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS80,000,000.00

YAKISASA,IMESHUSHWA BEI,KITUNDA-KIVULE,

0 0 Reviews
Posted on 01 May 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top