Hii nyumba ipo MACHIMBO-KITUNDA
Wanasema kimfaacho mtu chake.
Imeporomoshwa Bei ili kukidhi MAHITAJI ya DHARULA ya MUUZAJI.
Nyumba ya kisasa nzuri na yenye nafasi.
Vyumba 4 (Masta 1) Pia Ina Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Sasa INAUZWA TSHS.40 MILIONI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Maji,Umeme,Garden, ACs, Parking ya kutosha.
Na ipo jirani na Kituo cha Daladala.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.