Ipo jirani na Uwanja wa Ndege JNIA.
Mita 200 kutoka Barabara ya Nyerere.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
INAHITAJI MABORESHO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.