Eneo ni jirani na Shule ya Msingi MIPEKO.
Au SINBAD.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ni ya kisasa na inajitegemea.
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Mabada yaliyopo yapo 6 kila moja lina vyumba 2.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.