Umiliki ni Mkataba wa Mauziano.
————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000/
(Unalipa wewe Mnunuzi)
—————————
Myumba ya kisasa ambayo imeishia kiezekwa Bati.
Eneo ni kubwa na unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa na bado ukapata parking.
Vyumbab3 ( Masta 1) Sebule,Jiko, Dining na Choo cha Familia ndani.
Huduma muhimu zopo.
Ukihitaji kuiona taarifa mapema tafadhali.