Loading…
Views:
TZS30,000,000.00

VIWANJA (10) TSHS.30 MILIONI, MATUGA, MLANDIZI

0 0 Reviews
Posted on 28 May 2025

Country: Pwani

  • Parking: Outside or Street Parking
  • Type of property: Plot , Farm
  • Available for: Sale

Description:

Umbali wa kilomita 9 tu kutoka MLANDIZI MJINI/Barabara ya Morogoro, eneo ni (MATUGA-MSONGOLA) Eneo LIMEPIMWA VIWANJA VYA MAKAZI. Na vimetoka Viwanja 10 vya ukubwa tofauti tofauti. Panafaa pia kwa Shughuli za KILIMO/UFUGAJI. Lipo eneo lako la  wazi linalopakana na Bonde ambapo unaweza kuchimba na kupata Maji kiurahisi au kutengeneza Mabwawa nk. WAHI KABLA HUJAWAHIWA. Gari inafìka. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ____________ftm   Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS30,000,000.00

VIWANJA (10) TSHS.30 MILIONI, MATUGA, MLANDIZI

0 0 Reviews
Posted on 28 May 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top