Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mrana 2,000.
Umikiki ni Mkataba 2a Mauziano.
Eneo linaangalia Barabara ya Lami na limezunguushiwa Ukuta.
Ni juranina Barabara ya Morogoro/Mbezi Mwisho.
_________________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali nj 10%
Kuina nibTshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________________mpg
Hapa unaweza kujitanua kwaajili ya Shughuli yoyote ya kutoa huduma kwa jamii kama Shule,Hoteli,Zahanati,Makazi au kwa matumizi ya Makazi.
Wahi mapema kukagua na ikibidi ufanye maamuzi kabla ya kuchelewa.