Eneo kwaajili ya kuendesha Huduma ya Shule ya Msingi.
Ukubwa wa eneo ni Ekati 4.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Maabara,
Ofisi ya Waalimu,
Uwanja wa Michezo upo.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Upo uwezekano wa kutanua kwa kujenga Madarasa
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.