Country: Dar es Salaam
Ni shamba safi (limesafishwa)
Lipo umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Eneo ni zuri, tambarare na linafikika kiurahisi.
Unaweza Kulima,Kufuga au kuweka Mradi mkubwa wa Taasisi kama Shule, Hospitality, Uzalishaji nk.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu,
_________________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Ni shamba safi (limesafishwa) Lipo umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Eneo ni zuri, tambarare na linafikika kiurahisi. Unaweza Kulima,Kufuga au kuweka Mradi mkubwa wa Taasisi kama Shule, Ho...
https://advertisingdar.co.tz/ad/shamba-safi-lenye-hati-ekari-22-pingo-chalinze/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.