Loading…
Views:
TZS65,000,000.00

SHAMBA LILILOENDELEZWA, EKARI , KONGOWE-KIBAHA.

0 0 Reviews
Posted on 18 December 2024

Country: Pwani

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: Farm , Land , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:

Hili Shamba lina: ●Mabanda ya kufugia Ng'ombe, ●Mabanda ya kufugia Nguruwe, ●Nyumba yenye vyumba viwili pamoja na ●Mazao kadhaa ikiwemo  Migomba, na Miembe. Ni umbali wa kilomita 13 kutoka kutoka Barabara ya Morogoro. Eneo ni SOGA STATION. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____________mpg Miundombinu ya Nishati ya Umeme wa nguvu ya Jua ipo. Ikiwemo na Visima viwili vya Maji Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.  

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS65,000,000.00

SHAMBA LILILOENDELEZWA, EKARI , KONGOWE-KIBAHA.

0 0 Reviews
Posted on 18 December 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top