Hili Shamba linaingalia Barabara kuu ya Tanga/Arusha.
Eneo ni MBWEWE baada ya WAMI na MANDELA.
Wastani wa kilomita 164 kutoka Dar es salaam.
Hili ni Shamba safi na linaiangalia Barabara kuu ya TANGA/ARUSHA kutokea Dar.
Wahi kuina ufanye maamuzi mapema.
____________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________Sbs
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.