Nyaraka za uhalali zipo.
Ni Shamba zuri lililozunguushiwa Ukuta imara kwa usalama.
Na pia lina Mabanda ya kufugia Kuku pamoja na Kisima cha Maji na Tenki za kuhifadhia Maji.
Hapa unaweza kuwekeza kama nyumba za Biashara, Hoteli,Yard, Gereji nk.
———————-
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
————————–
Kukagua wasilana nami mapema.