Loading…
Views:
TZS30,000,000.00

SHAMBA EKARI (4)/VIWANJA (10) MLANDIZI-PWANI.

0 0 Reviews
Posted on 05 April 2025

Country: Pwani

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: Plot , Farm , Land
  • Available for: Sale

Description:

Umbali wa kilomita 9 kutoka MLANDIZI MJINI/Barabara ya Morogoro, eneo ni MATUGA/MSONGOLA. 

Eneo LIMEPIMWA VIWANJA VYA MAKAZI.

Panafaa pia kufanya Shughuli za KILIMO na UFUGAJI.

Lipo eneo lako la  wazi linalopakana na Bonde ambapo unaweza kuchimba na kupata Maji kiurahisi au kutengeneza Mabwawa nk.

Hii ni uwekezaji mzuri.

Viwanja haviozi na baada ya muda mfupi utauza kwa faida.

WAHI KABLA HUJAWAHIWA.

Gari inafìka.

_____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

____________ftm


Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS30,000,000.00

SHAMBA EKARI (4)/VIWANJA (10) MLANDIZI-PWANI.

0 0 Reviews
Posted on 05 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top