Country: Pwani
Mwenye uhitaji wa kuishi kwa utulivu huku unazalisha hapa ndio penyewe. Makazi yapo, Mazao ya kudumu yapo na unaweza kuweka Mifugo pia Kubwa kukiko ni kama upo Mjini tu. USIFANYE AJIZI WAHI AU MFAHAMISHE UAEDHANI PANAWEZA KUMFAA. Ni umbali wa kikomita 4 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo. Eneo ni AMANI-KEREGE, BAGAMOYO. Nyumba ikiyopo ni ya KUMALIZIA UJENZI. Kuna Miembe 150. Miti ya Mbao/Mitiki 600. Aje mnunuzi sio-mpambe tafadhali. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Mwenye uhitaji wa kuishi kwa utulivu huku unazalisha hapa ndio penyewe. Makazi yapo, Mazao ya kudumu yapo na unaweza kuweka Mifugo pia Kubwa kukiko ni kama upo Mjini tu. USIFANYE AJIZI WAHI AU MFAHAMISHE UAEDHANI PANAWEZA KUMFAA. Ni umbali wa kikomi...
https://advertisingdar.co.tz/ad/shamba-eka-2-6-nyumbatshs-79-mil-kerege/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.