Ni nyumba ya kisasa yenye nafasi.
Inauzwa pamojq na Samani (Fenicha) zake
———————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona nibTshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapp tu unaridhia Taratinu zangu.
————————-
Nyumba ina Vyumba 4 ( Masta 2) Pia Sebule, Majiko 2 na Choo Cha Familia nfani.
Bei ni Tsha.180 Milioni.
Tiles, Gypsum, Dirisha za Vioo.
Kisima,Point ya Dry Cleaner na Electric Fence vipo.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.