Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kila Chumba kina Choo chake ndani.
Imebaki umaliziaji.
WAHI UKAGUE KISHA UFANYE MAAMUZI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.