Vibali kwaajili ya kuweka Hospitali vilishatoka.
Jengo lililopo lipo pembeni hivyo uwezekano wa kutanua zaidi kadili ya upendavyo upo.
Panafaa pia kuweka Shule au Nyumba ya wageni.
WAHI MAPEMA USIJEKOSA MALI HII.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________dr
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.