Country: Dar es Salaam
Hii ni nyumba nzuri ya KUMALIZIA UJENZI. Ghorofa yenye Salafu mbili. Ipo umbalivwa kilomita 2 kutoka Barabara ya Lami ya Goba Madale. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Jumla ina vyumba vya kulala 4 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10: Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ni nyumba nzuri ya KUMALIZIA UJENZI. Ghorofa yenye Salafu mbili. Ipo umbalivwa kilomita 2 kutoka Barabara ya Lami ya Goba Madale. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Jumla ina vyumba vya kulala 4 ( Masta 1) Pi...
https://advertisingdar.co.tz/ad/pagale-la-ghorofa-vyumba-vinne-4-goba-kulangw/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.