Hapa huna nyumba pekeyake bali:
-Eneo kubwa,
-Kisima,
-Apartm2nt ya vyumba 2 pamoja na
-Mabanda ya kufugia Kuku.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Meaba 2,000.
Umiliki ni Mkataba wa Mauziano.
Hii nyumba ni kubwa ya kisasa YA-KUHAMIA.
Jumla ina cyumba 4 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining,Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
______________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.