Hii nyumba ipo MBEZI-MWISHO,
GOBA ROAD.
Wastani wa mita 700 kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba kubwa Ina vyumba 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ujenzi imara na wa kisasa.
Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.