Hiu nyumba unauzwa kwa dharula.
Ipo u bali wa kilomita 5 tu kutoka Barabara ya Morogoro yaani Mbesi Mwisho.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za mraba 300.
Umiliki ni Mkataba wa Mauziano/
—————-
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ji Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
—————–
Nyumba ji ya kuhamia.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.