Hii nyumba inajitegemea.
Ina AC, Parking na Dirisha za Vioo.
————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs. 20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu
—————————-Kp
Vyumbab4 (Masta 1) Sebule, Jiko,Dining na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.