Country: Dar es Salaam
Hii ni ya kuhamia.
Kiwanja Mita za mraba 420
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani sana na Barabara kuu ya Lami.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ji 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu
__________________R
Chumba kimoja ni masta.
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining,
Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo.
Huduma za Maji,Umeme zipo.
Parking ndani ya Geti.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ni ya kuhamia. Kiwanja Mita za mraba 420 Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ipo jirani sana na Barabara kuu ya Lami. __________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ji 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Wasiliana nami iwapo tu unaridhia ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-vyumba-vitano-5-tshs-50-milioni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.