Ni mpya.
Ujenzi ni wa kumalozia vitu vidogo tu.
Pia ina Duka moja/
———————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
———————————–
Vyumba vya kulala 4 ( 2 vina Vyoo ndani)
Pia kuna Kumbi 2, Sehemu ya Chakula na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaki kuona taarifa mapema tafadhali.