Nyumba nzuri ya kisasa yenye jumla ya vyumba vya kulala 4 ( Masta 1)
Ni jirani na Barabara ya Lami
Ina LESENI YA MAKAZI.
Nyumba ina ACs, Parking khbwa yenye Paving na huduma ya Maji safi ipo.
___________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.