Eneo ni MLAMLENI,
KONGOWE ,MBAGALA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba inaangalia Barabara Pana.
Vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.