Loading…
Views:
TZS53,000,000.00

NYUMBA YENYE VYUMBA 9,MAFISA-MOROGORO.

0 0 Reviews
Posted on 01 May 2025

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Eneo ni jirani na Shule ya Msingi. 

Hii nyumba inaangalia Barabara ya Mtaa. 

Pamoja na nyumba ķubwa nyuma pia kuna Banda la vyumba viwi na Sebule.

Hapa unaweza kupangisha kama ilivyo kujiingizia kipato au tena kuiboresha na kutengeneza Pesa zaidi.

Ama ukipenda kuivunja kuweka nyumba ya kisasa.

_____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

____________mfs/m


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 


 

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS53,000,000.00

NYUMBA YENYE VYUMBA 9,MAFISA-MOROGORO.

0 0 Reviews
Posted on 01 May 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top