Kodi Ilipwe ya Miezi 6.
Dirisha za Nyavu,
Ina Tiles ,Parking ipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona niTshs.20 000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Piano kuna Sebule,Jiko,Dining na Choo cha Familia.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.