Kufika hapa unaweza kuoitia GONGOLAMBOTO/BANANA au KINYEREZI.
Nyumba ina Wapangaji na Fremu zina Wapangaji pia.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.