Country: Dar es Salaam
Hapa ni kabla ya kufika CHANIKA Ukitokea PUGU-KONA, Wilaya ya Ilala. Nyumba ni ya kisasa. Vyumba 3 (Kila Chumba na Choo chake ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 704. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Parking ipo na ina Paving Block WAHI UJITWALIE MAPEMA. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ______________tP
Hapa ni kabla ya kufika CHANIKA Ukitokea PUGU-KONA, Wilaya ya Ilala. Nyumba ni ya kisasa. Vyumba 3 (Kila Chumba na Choo chake ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 704. Umiliki ni MKAT...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-swimming-poolkigogo-fresh-pugu/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.