Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia ina Sebule,Jiko, Dining, Store na Choo cha Familoa ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.