Country: Dar es Salaam
Ni jirani na Kanisa la Wasabato. Nyumba ina HATI MILIKI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Nyumba ndogo pembeni yenye Chumba na Sebule pamoja na Choo cha Wageni nje. Parking ni kubwa na ina Tofali za chini. KWA SASA KUNA WAPANGAJI. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________msKm Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo. Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Ni jirani na Kanisa la Wasabato. Nyumba ina HATI MILIKI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Nyumba ndogo pembeni yenye Chumba na Sebule pamoja na Choo cha Wageni nje. Parking ni...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-hati-vyumba-3-mongolandege/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.