Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni HATI (Title ) ya Wizara
HAPA UNAINGIA NA NGUO ZAKO HUHITAJI HATA KUFAGIA.
Ipo kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kwa Daladala unashukia SHANGWE.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_______________zw
Hii ni nyumba ya kisasa, imara na bora.
Ina jumla ya Vyumba vinne (4) vya kulala.
Kati ya vyumba hivyo 4, 3 vina Vyoo ndani.
Pia kuna Chumba cha nje kimoja,
Kisima cha Maji matamu,
Parking safi yenye paving na Pametulia hasa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.