Eneo ni MSUFINI KIBAHA.
Hii ni nyumba mpya ambayo ipo umbali wa mita 600 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja SQM.600.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.