Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Lami.
Eneo ni MAKABE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ujenzi ni wa Kisasa (Contemporary Design)
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Kuagua tuwasiliane mapema tafadhali.