Ipo umbali wa kilomita 3 kutoka
Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
INAHITAJI UMALIZIAJI UJENZI.
______________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
______________mpg
Ujenzi ni wa kisasa.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.