Loading…
Views:
TZS25,000,000.00

NYUMBA YAKUMALIZIA, VYUMBA VINNE (4) MAJOHE

0 0 Reviews
Posted on 14 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Eneo ni GONGOLAMBOTO MAJOHE (KWA-NGOZOMA) Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 360. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hii nyumba Inajitegemea. Vyumba 4( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________mskv   Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS25,000,000.00

NYUMBA YAKUMALIZIA, VYUMBA VINNE (4) MAJOHE

0 0 Reviews
Posted on 14 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top