Nyumba hii ni nzuri na ina nafasi yakutosha kujenga nyumba nyingine kadhaa ikikupendeza.
Hapohapo pia kuna nyumba ndogo pembeni yenye jumla ya vyumba vya kulala 2.
Kiwanja chake kina Ukubwa wa Mita za Mraba 984.
Umiliki ni LETTER OF OFFER ya Wizara ya Ardhi.
SI RAHISI KUPATA KIWANJA CHA AINA HII SINZA KWA SASA.
Mtaa umetuliaaa,
Kumbuka hapa ni wastani wa kilomita 10 tu kutoka Posta.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo upo unaridhia taratibu zangu.
_____________m.mr
Ujenzi sio imara tu bali umezingatia ubora na wakati.
Nyumba ina Toles,Gypsum, Dirisha za Vioo,
Parking kubwa yenye Paving, ACs. Electric Fence nk.
WAHI UIONE NA UFANYE MAAMUZI MAPEMA IKIWEZEKANA.