Kiwanja kina ukubwa SQM. 460.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ipo jirani na Barabara ya Lami.
Vyumba 2 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.