Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ipo umbali wa wastani wa kilomita moja na nusu kutoka Barabara ya Morogoro. (UsafirI kwa Bodaboda ni Tsh.1000) Hii ni nyumba nzuri kubwa na eneo lake lina nafasi. Unaweza kujenga nyumba nyingine kadhaa ndani ya Fensi yako au tena ukipenda unaweza kuweka Mabanda ya kufugia kuku nk. Vyumba 3(masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. _____________ ANGALIZO; Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ipo umbali wa wastani wa kilomita moja na nusu kutoka Barabara ya Morogoro. (UsafirI kwa Bodaboda ni Tsh.1000) Hii ni nyumba nzuri kubwa na eneo lake lina nafasi. Unaweza kujenga nyum...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vitatu-3kibamba-shule-hondogo/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.